{"product_id":"9781088089590","title":"Kwa Nini Mtoto Wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani (edición suajili)","description":"Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburgo nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walfikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.\u003cbr\u003e\u003cbr\u003e\u003cbr\u003e\u003cul\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eAutor:\u003c\/b\u003e Gracia Zuzo\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eEditorial:\u003c\/b\u003e Libros de Grace Zuzo\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eFecha de publicación:\u003c\/b\u003e 26 de enero de 2023\u003c\/li\u003e\n\n \u003cli\u003e| \u003cb\u003eNúmero de páginas:\u003c\/b\u003e 32 páginas\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eIdioma:\u003c\/b\u003e Suajili\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eEncuadernación:\u003c\/b\u003e Tapa blanda\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eISBN-10:\u003c\/b\u003e 1088089593\u003c\/li\u003e\n\n\u003cli\u003e | \u003cb\u003eISBN-13:\u003c\/b\u003e 9781088089590\u003c\/li\u003e\n\n\n\u003c\/ul\u003e","brand":"Grace Zuzo'S Books","offers":[{"title":"Default Title","offer_id":47706334003505,"sku":"9781088089590","price":17.46,"currency_code":"USD","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0798\/8215\/8385\/products\/9781088089590.jpg?v=1698995558","url":"https:\/\/www.recomparo.com\/es\/products\/9781088089590","provider":"ReComparo.com","version":"1.0","type":"link"}